Latest News

Mchango wa kusaidia kituo cha elimu na mafunzo Ilagala

Ndugu wadau kama ambavyo nimekuwa nikiwaomba kuona haja, nia na hamasa na kutusaidia hapa kwenye kituo cha elimu na mafunzo ya ufundi Ilagala. Tunashukuru sana wengi mmekuwa mkiitika wito wetu hata hivyo uhitaji wa mabweni ni mkubwa sana kuliko ilivyokuwa hapo mwanzo jambo ambalo linapelekea tunashindwa kutimiza wajibu wetu ipasavyo. Kutokana na ukweli kwamba ili mtu kujifunza anahitaji mahali salama pa kulala ndio maana tunakusudia kujenga mabweni mawili ambapo mchanganua wa gharama uko kama ifuatavyo hapa chini. All figures in TZS DESCRIPTION UNIT QTY RATE TOTAL 1.Cement Bags 2,270 11,800 26,786,000 2.Main Reinforcements (6Y16mm) Ton 12 1,300,000 15,327,000 3.Main Reinforcements (Y12mm) Ton 25 1,300,000 32,669,000 4.Stirrup- Reinforcements (Y8mm) Ton 2 1,300,000 1,950,000 5. Binding wire kg 1,385 1,500 2,077,500 6. Iron sheets Bundle 100 215,000 21,500,000 7. SQ pipe One and half by one and half Pcs 500 11,000 5,500,000 8. SQ pipe one by one Pcs 500 9,400 4,700,000 9. Flat bar one by three Pcs 700 8,500 5,950,000 10 Timber of different sizes Pcs 3,500 5,500 19,250,000 11 Nails of different sizes kg 450 3,500 1,575,000 12 Labour block 3 9,000,000 27,000,000 13 Decollation liter 1,000 2,000 2,000,000 14. Transportation from Dar to Ilagala 1,000 25,000 25,000,000 Sub Total 3 164,498,500 Gharama hizi hizi jumuishi tofari, mchanga, kokoto na mawe kwa ajili ya msingi, vitu hivi tutavighalimia sisi na tayari vile vya kuanzia vimekwisha kuwepo, hadi sasa tuna matofari ya kuchomwa elfu sitini, mchanga trip 30, kokoto trip 20 na mawe trip 25. Karibuni kwa michango ili tuwakomboe vijana watanzania wenzetu. Mungu akubariki wewe utakayeguswa na hili. Ninaahidi kuwa ninatoa taarifa ya kila aliyechangia kupitia ukurasa huu. Yote yanawezekana kila mmoja akitimiza wajibu wake.